natakagari.com


“Uza...Nunua...Kodisha”

Call us 24 Hours

+255 (0) 655 108 590
+255 (0) 757 600 100

MAGARI YALIYOTUMIKA NCHINI

Hapa utakutana na magari yanayouzwa na watu mbalimbali binafsi pamoja na taasisi tofauti. Magari haya yameshatumika nchini Tanzania lakini bado yapo kwenye hali nzuri kabisa. Kwa kupiga simu moja kwa moja kwa mmiliki utapata gari la chaguo lako kutoka safu hii bila ya usumbufu wa aina yoyote unaoweza kukupotezea nguvu na muda.
Endelea»

SHOWROOMS NA KUAGIZA

Hapa utakutana na magari yote ya kisasa kabisa kutoka kwenye "Showrooms/ Yards" mbalimbali kubwa na ndogo hapa nchini. Magari haya hayajatumika nchini Tanzania, na kwa kupiga simu moja kwa moja kwa wamiliki wa "showrooms/ yards" hizi utapata gari la chaguo lako bila kupotea nguvu na muda.
Endelea»

MAGARI YA KUKODI

Hapa utakutana na magari ya aina mbalimbali yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama vile Kuendesha binafsi, Kubebea watalii, Sherehe n.k. kwa kupiga simu moja kwa moja kwa mmiliki utapata gari lako la kukodi unalolitaka kwa mara moja. Karibu kwenye website yetu kwa huduma bora kabisa
Endelea»