natakagari.com


“Uza...Nunua...Kodisha”

Call us 24 Hours

+255 (0) 655 108 590
+255 (0) 757 600 100

Ndugu Mteja

Kuna njia tatu za kutuma taarifa za gari lako, unapotaka kuliuza
 • Kwa njia ya WhatsApp: 0655 108 590
 • Kwa kujaza fomu iliyopo hapa chini
 • Kwa njia ya email: info@natakagari.com
Tafadhali ambatanisha na fee ya 20,000 Tsh, kupitia Tigo Pesa namba 0655 108 590 au M Pesa namba 0757 600 100, ili gari lako litangazwe chap chap ukutane na wateja wa uhakika wanaolitaka. Kwa dealers na unayetaka kukodisha, tupigie kupitia namba 0655 108 590 kupata utaratibu
Tafadhali Jaza Taarifa Za Gari Lako
Social Media
Njia ya WhatsApp
Tunaomba ututumie maelezo kamili kuhusu gari kwenye namba yetu ya ofisi (0655 108 590) na baada ya hapo tutawasiliana nawe na kuweka gari na maelezo kwenye mtandao wetu wa Nataka Gari.
Tuma Maelezo Yafuatayo:
 • Jina la Gari, mfano Toyota Alteza
 • Bei ya Gari (Maelewano kama yapo au hayapo)
 • Imelipiwa ushuru
 • Eneo lililopo
 • Muundo wa gari
 • Rangi
 • Mwaka wa kuundwa
 • Ukubwa wa Injini (cc)
 • Aina ya Mafuta
 • Aina ya Body
 • Aina ya Gari ('Automatic' au 'Manual')
 • Jina la Mmiliki
 • Namba ya Simu
 • Barua pepe
 • Maelezo ya Jumla ya Gari
 • Picha zisizopongua tano(5)